WAKULIMA WA TUMBAKU CHUNYA WALALAMIKIA KAMPUNI KUTOWALIPA BAADA YA KUNUNUA MAZAO YAO
Автор: BONGO PLAY TELEVISION
Загружено: 2026-01-20
Просмотров: 10
Wakulima wa tumbaku wa kijiji cha Mapinduzi kilichopo kata ya mtande wilayani Chunya wanaounda Chama cha Msingi cha Matimba Amcos, wamelalamika kutolipwa fedha zao za mauzo ya tumbaku ya msimu uliopita na kampuni ya ununuzi wa tumbaku ya magefa, hivyo wanaiomba serikali kuingilia kati ili walipwe fedha zao.
Wakitoa malalamiko yao kuhusu kutolipwa fedha za mauzo ya tumbaku, wakulima wa kijiji cha mapinduzi kilichopo kata ya mtande wilayani chunya, wanaounda chama cha msingi cha matimba amcos wamesema…. 1.. Zawadi Charles – Mkulima Wa Tumbaku Chunya. 2. Apolinary Kamwanga – Mkulima Wa Tumbaku Chunya. 3. Kulwa John – Mkulima Wa Tumbaku Chunya.
Mwenyekiti wa Chama cha Msingi cha Matimba Amcos, Shida Tauson amesema kampuni hiyo tayari imeshawaandikia barua ya kujitoa kununua tumbaku, hali ambayo inawapa mashaka ya kulipa fedha za wakulima….. 1. Alex Mwakipesile – Mwenyekiti wa kijiji cha Mapinduzi.
Akizungumzia malalamiko ya wananchi hao, Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mbarack Alhaj Batenga amesema suala hilo wanalitamba na linafanyiwa kazi…. 1. Mbarack Alhaj Batenga – Mkuu Wa Wilaya Ya Chunya.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: