Mbinu za kusoma na kufaulu mitihani ya chuo kikuu/strategies to succeed in universities
Автор: TUKI - Kuza Akili Yako
Загружено: 2024-06-16
Просмотров: 1365
Ikiwa wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu na unatamani kufahamu mbinu za kusoma na kufaulu mitihani YAKO Bila ya stress(mawazo) Basi fuatilia vizuri hili somo.
Kufahamu Kanuni kuu tatu za kusoma Angalia video hii hapa • Mbinu tatu za kufuata ili kusoma somo lolo...
Kufahamu Hatua nne za kukuza uwezo wako wa akili bonyeza link hii hapa • Hatua 4 za kukuza uwezo wako wa ubongo na ...
Leo utajifunza mbinu ya kisaikolojia ya kukusaidia kusoma Bila ya mawazo
Mbinu hii inaitwa
EIA
E = Emotion
Jinsi ya kutumia Hisia katika kusoma masomo yako
I = imagination
Jinsi ya kutumia picha katika kukumbuka masomo yako
A = Association
Jinsi ya kuunganisha picha na Hisia na kiziweka sehemu Fulani ili uweze kukumbuka masomo yako kwa wepesi.
Kwa kufahamu mbinu hizo utasoma kwa wepesi zaidi na Utaanza kuona utofauti mkubwa katika masomo yako #masomo #akili #mafanikio #moneymindset #necta
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: