Huwezi kufanikiwa katika masomo yako bila ya kufahamu matatu haya.
Автор: TUKI - Kuza Akili Yako
Загружено: 2024-07-07
Просмотров: 579
Ikiwa unatama kufaulu vizuri katika masomo yako basi unatakiwa kufahamu mambo matatu ambayo nimefundisha katika video hii mwanzo hadi mwisho.
Kufahamu mbinu za kuongeza uwezo wako wa akili bonyeza hapa • MBINU ZA KUKUZA UWEZO WAKO WA AKILI/IMPROV... kuangalia video hiyo ambayo pia inaeleza mbinu ya conscious breathing kama nilivyoeleza katika video.
Mbinu hizi zitakusaidia kusoma kwa wepesi zaidi na kukufanya upige hatua kubwa katika masomo yako haijaalishi unasoma ngazi gani ya kielimu
Naitwa Mr Tukrim Ameir
Nafundisha namna ya kutumia ubongo kitaalamu ili uweze kufanikiwa katika masomo, biashara na katika kusoma ujuzi wowote unaotaka.
#masomo #mafanikio #moneymindset #akili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: