MAOMBI JUU YA MFUMO MZIMA WA UZAZI WA MWANAMKE-DAY 1(29.9.2021)
Автор: Minister Mocky
Загружено: 2021-09-28
Просмотров: 4221
Shalom sweethearts
Leo ni siku ya kwanza na ndio utakua mwanzo wa MWISHO WA UTASA KWAKO,
Neno la Mungu linasema;
“Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.”
Yn 10:10 SUV
Leo Mungu atatufungua na kuondoa kila mapando ambayo yamewekwa ndani ya mfumo wetu mzima wa uzazi,tunayoyajua na tusiyoyajua,
Unapoomba na unaona unapata shida ya nguvu za giza endelea kuomba mpk uone uko sawa kabisa
Roho Mtakatifu yupo hapo kuhakikisha unakua sawa kabisa..
KWA JINA LA YESU,KILA ATAKAEOMBA NATAMKA UMEFUNGULIWA NA HIYO SHIDA HAITARUDI TENA..
Kumbuka kutuma ushuhuda wa kile ambacho Mungu amefanya, iwe kwa kuandika,kutuma picha au kwa kurekodi ili shetani aendelee kupigwa na Yesu ainuliwe zaidi na zaidi.
Tuma kwa kila mtu clip hiyo ili Mungu aendelee kuponya watoto wake.
Min Mocky
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: