MFUMO WA UZAZI-MAOMBI YA MAANDALIZI YA KUJIFUNGUA NA YA SIKU YA KUJIFUNGUA.
Автор: Minister Mocky
Загружено: 2020-06-28
Просмотров: 12508
Praise the Lord Sweethearts...
"na masikio yako yatasikia neno nyuma yako, likisema, Njia ni hii, ifuateni; mgeukapo kwenda mkono wa kulia, na mgeukapo kwenda mkono wa kushoto.”
ISA. 30:21 SUV
Leo ni siku nyingine tena Mungu ametupa na tunaenda kuombea maandalizi ya wakati mtoto kuja(
Mahitaji muhimu ya muda maandalizi)
Ba pia tutaomba kuhusu mama atakapoingia labor,ili yeye na mtoto wote watoke wakiwa salama.
Kwa wale ambao hawajapata watoto,unaweza kusikiliza na haya yawe ni mafunzo zaidi ya namna ya kuomba na yawe akiba kwako pia.
Kumbuka;HUU NI MWISHO WA UTASA KWAKO.
Min Mocky
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: