MFUMO WA UZAZI-MANENO YA KUMSEMESHA MTOTO AKIWA BADO TUMBONI MWA MAMA.
Автор: Minister Mocky
Загружено: 2020-06-27
Просмотров: 5584
“na masikio yako yatasikia neno nyuma yako, likisema, Njia ni hii, ifuateni; mgeukapo kwenda mkono wa kulia, na mgeukapo kwenda mkono wa kushoto.”
ISA. 30:21 SUV
Praise the Lord Sweethearts,
Leo ni siku nyingine tena Mungu ametupa na tunaenda kuwasemesha watoto wetu tuliowabeba maneno ya Mungu sawa sawa na mapenzi ya Mungu kwa watoto wetu hao,
Endelea kumsikilizisha mtoto wako kila wakati ili aendelee kuelewa na kukumbuka hata atakapozaliwa...
Kwa wale ambao hawajapata watoto,unaweza kusikiliza na haya yawe ni mafunzo ya akiba kwako pia.
Kumbuka;HUU NI MWISHO WA UTASA KWAKO.
Min Mocky
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: