UWEKEZAJI WA PALO MBINGA NA FURSA ZA AJIRA KWENYE KILIMO.
Автор: Toka zamani Tv
Загружено: 2024-06-01
Просмотров: 947
#wizarayakilimo#kahawa#Wananchi wa wilaya ya Mbinga na mkoa wa Ruvuma kwa ujumla wanakwenda kunufaika na uwekezaji mkubwa wa kilimo ambao umefanywa na kijana mzalendo mkazi wa wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma ambapo kutokana na uwekezaji huo tayari wananchi zaidi ya 150 wamepata ajira lakini pia uwekezaji huo umeweza kuisaidia jamii ambayo ipo karibu na uwekezaji. habari mbalimbali za michezo na burudani bila kusahau makala za kijamii pamoja na vivutio mbalimbali vya utalii kupitia katika channel hii pendwa ya TOKAZAMANI TV.
SUBSCRIBE HERE:www.youtube.com/c/tokazamanitv?sub_co...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: