Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

JE KUANGUKA, KIZUNGUZUNGU AU KUPOTEZA FAHAMU KWA MJAMZITO KTK UJAUZITO HUSABABISHWA NA NINI?

Автор: Dr. Mwanyika

Загружено: 2022-03-02

Просмотров: 8308

Описание:

Kizunguzungu Kwa Mjamzito, Kizunguzungu katika kipindi cha Ujauzito wako, Kizunguzungu katika Mimba, Kizunguzungu kwa Mjamzito, kizunguzungu Cha Ujauzito, Kizunguzungu katika Ujauzito, Kizunguzungu katika kipindi cha Ujauzito, Kizunguzungu Miezi Mitatu ya mwishoni mwa Ujauzito, Kizunguzungu Miezi Mitatu ya mwanzoni mwa Ujauzito.

Kizunguzungu na kupoteza fahamu (Syncope in Pregnancy) kwa Mjamzito husababishwa na Upungufu wa usafirishwaji wa Damu kwenye Ubongo ktk kipindi cha Ujauzito kwa Mjamzito (Cerebral Hypoperfusion).

Kutokana na mabadiliko ya Homoni (Progesteroni au Estrogeni) katika kipindi cha Ujauzito huweza kupelekea mabadiliko mbalimbali ktk mfumo wa usafarishaji wa Damu wa Mjamzito kama kuongezeka kwa Damu, kutanuka kwa Moyo (Eccentric hypertrophic of left ventricle) na kupungua kwa SVR.

Mambo mengine yanayoweza kupelekea Mjamzito kupata Kizunguzungu, kuanguka na kupoteza fahamu katika Ujauzito ni kama;

1. Upungufu wa Sukari kwenye Damu(Hypoglycemia) katika kipindi cha Ujauzito.

2. Upungufu au Kupungua Presha au shinikizo la Damu (Hypotension) kwa Mjamzito katika kipindi cha Ujauzito.

3. Upungufu wa Damu (Anemia in Pregnancy) kwa Mjamzito katika kipindi cha Ujauzito.

Hali hii huweza kuwapata Wajawazito 5 katika Wajawazito 100 hali huweza kuwapata Wajawazito katika kipindi cha Ujauzito inawezekana miezi mitatu ya mwanzoni(32%), katikati(44%) au Mwishoni mwa Ujauzito(24%).
Haswa huwapata wajawazito katika Miezi Mitatu ya katikati mwa Ujauzito(44%) yaani Miezi 4, 5 au 6 ya Ujauzito.

Dalili za kupoteza fahamu katika kipindi cha Ujauzito.
Ni kama;
1. Mjamzito kuwa na kizunguzungu katika kipindi cha Ujauzito.

2. Mjamzito kupoteza fahamu katika kipindi cha Ujauzito.

3. Mjamzito kuona giza au mawenge katika kipindi cha Ujauzito.

4. Mjamzito kupoteza nguvu na kuanguka katika Ujauzito.

5. Mjamzito mwisho wa siku kuanguka katika kipindi cha Ujauzito.

Athari zitokanazo na kuanguka au kupoteza fahamu katika kipindi cha Ujauzito.

1. Kujifungua Mtoto mwenye uzito wa chini au Uzito zaidi.

2. Kujifungua Mtoto kabla ya wakati au kabla ya Mimba kukomaa.

3. Mjamzito kupata shida za kupata shida za Moyo (Cardiac arrhythmias) Mara baada ya kujifungua.

4. Mjamzito kuanguka na kuumia au Mimba kuharibika na kuvunjika pia.

MAMBO YA KUFANYA ILI KUEPUKA ATHARI KUTOKANA NA KUPUNGUKIWA KWA DAMU KWENYE UBONGO.

1. Kupunguza kusimama muda mrefu katika kipindi cha Ujauzito.

2. Kutoinuka au kusimama haraka haraka, jaribu kuamuka au kuinuka taratibu.

3. Kuvaa stocks ili kurudisha Damu nyingi kutokana sehemu ya chini ya mwili hususani Miguu kwenda moyoni.

4. Kutovaa Nguo zinazobana mwili kwa Mjamzito katika kipindi cha Ujauzito.

5. Kula mara kwa mara katika kipindi cha Ujauzito ili kutopata Upungufu wa Sukari katika kipindi cha Ujauzito.

6. Kutolalia Mgongo katika kipindi cha Ujauzito Mimba inapokuwa zaidi ya wiki 16.

7. Kuhakikisha Presha au shinikizo la Damu linakuwa kawaida katika kipindi cha Ujauzito.

8. Hakikisha Damu yako iko sawa katika kipindi cha Ujauzito.

9. Kaa sehemu yenye hewa safi katika kipindi cha Ujauzito.

10. Unaweza kukaa au kulala Chini unapohisi kizunguzungu kinakuja katika kipindi cha Ujauzito wako.

Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito.
   / drmwanyika  

Nifuatilie Instagram kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / dr._mwanyika  

Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://mamaafya.com/

Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / japideafya  

Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://play.google.com/store/apps/de...

#drmwanyika
#mamaafya
#SyncopeInPregnancy

JE KUANGUKA, KIZUNGUZUNGU AU KUPOTEZA FAHAMU KWA MJAMZITO KTK UJAUZITO HUSABABISHWA NA NINI?

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Dalili za  Presha kwa Mjamzito au Shinikizo kubwa la Damu kwa Mjamzito | Dalili za Kifafa cha Mimba!

Dalili za Presha kwa Mjamzito au Shinikizo kubwa la Damu kwa Mjamzito | Dalili za Kifafa cha Mimba!

Je Manjano Kwa Kichanga husababishwa na Nini? (Visababishi Vya Manjano Machoni/Ngozi ya Kichanga)

Je Manjano Kwa Kichanga husababishwa na Nini? (Visababishi Vya Manjano Machoni/Ngozi ya Kichanga)

Dalili hatari kwa Mjamzito | Dalili za hatari kwa Mama Mjamzito

Dalili hatari kwa Mjamzito | Dalili za hatari kwa Mama Mjamzito

Hizi hapa njia za kupunguza kutapika kwa mama mjamzito

Hizi hapa njia za kupunguza kutapika kwa mama mjamzito

FAHAMU MADHARA YA KIFAFA CHA MIMBA / DALILI KINGA

FAHAMU MADHARA YA KIFAFA CHA MIMBA / DALILI KINGA

Je Maumivu ya Tumbo ya kubana na kuachia kwa Mjamzito husababishwa na Nini? | Je ni hatari au lah?

Je Maumivu ya Tumbo ya kubana na kuachia kwa Mjamzito husababishwa na Nini? | Je ni hatari au lah?

Je Kulala Upande WA Kulia Kwa Mjamzito Ni Sahihi? (Kulalia Kulia Ktk Ujuazito Ni Sawa AU Lah?).

Je Kulala Upande WA Kulia Kwa Mjamzito Ni Sahihi? (Kulalia Kulia Ktk Ujuazito Ni Sawa AU Lah?).

Siri za Kupata Mimba Ukiwa na Hedhi Inayobadilika badilika!

Siri za Kupata Mimba Ukiwa na Hedhi Inayobadilika badilika!

Je ni kwa nini Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito?? | Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito??

Je ni kwa nini Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito?? | Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito??

Ukiwa na DALILI hizi 10, fahamu kuwa wewe ni MJAMZITO tayari | Bonge la Afya

Ukiwa na DALILI hizi 10, fahamu kuwa wewe ni MJAMZITO tayari | Bonge la Afya

Fix You: Aina 7 za Mama Wakwe na Jinsi ya Kuishi nao - Na Aunt Sadaka

Fix You: Aina 7 za Mama Wakwe na Jinsi ya Kuishi nao - Na Aunt Sadaka

DAWA ZINAZOINGILIANA NA VITAMIN B 9 FOLIC ACID KWA MAMA MJAMZITO

DAWA ZINAZOINGILIANA NA VITAMIN B 9 FOLIC ACID KWA MAMA MJAMZITO

Mimba ya miezi mitatu / Dalili za mimba ya miezi mitatu (3).

Mimba ya miezi mitatu / Dalili za mimba ya miezi mitatu (3).

AFYA YA AKILI: FAHAMU ATHARI ZA HOFU KATIKA  MAISHA

AFYA YA AKILI: FAHAMU ATHARI ZA HOFU KATIKA MAISHA

Je Ulaji WA Miwa Kwa Mjamzito NI Salama???Unywaji WA Juisi Ya Miwa Kwa Mjamzito!!!

Je Ulaji WA Miwa Kwa Mjamzito NI Salama???Unywaji WA Juisi Ya Miwa Kwa Mjamzito!!!

Je Kizunguzungu Kwa Mjamzito husababishwa Na Nini? (Sababu ya kizunguzungu kwa Mama Mjamzito).

Je Kizunguzungu Kwa Mjamzito husababishwa Na Nini? (Sababu ya kizunguzungu kwa Mama Mjamzito).

MCL DOCTOR: TAMBUA SABABU ZINAZOPELEKEA MJAMZITO KUTOKWA NA DAMU UKENI NA SULUHISHO LAKE

MCL DOCTOR: TAMBUA SABABU ZINAZOPELEKEA MJAMZITO KUTOKWA NA DAMU UKENI NA SULUHISHO LAKE

Je Kukosa Pumzi /Kupumua Haraka Kwa Mjamzito Hutokana  NA Nini? (Jinsi Kupunguza Kupumua Kwa Shida )

Je Kukosa Pumzi /Kupumua Haraka Kwa Mjamzito Hutokana NA Nini? (Jinsi Kupunguza Kupumua Kwa Shida )

NJIA 5 ZA KUONGEZA AKILI ZAIDI

NJIA 5 ZA KUONGEZA AKILI ZAIDI

73-летний японский врач:

73-летний японский врач: "Ваша лимфа забита ЯДАМИ! Вот чем её промыть"

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]