Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

RC MTANDA ASHUHUDIA SAFARI YA KWANZA YA MV NEW MWANZA KWENDA BUKOBA

Автор: MWANZA RS TV

Загружено: 2025-09-21

Просмотров: 20624

Описание:

RC MTANDA ASHUHUDIA SAFARI YA KWANZA YA MV NEW MWANZA KWENDA BUKOBA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda leo tarehe 21 Septemba, 2025 ameshuhudia jaribio la mwisho la safari ndefu kwa Meli ya MV New Mwanza kwenye bandari ya Mwanza Kusini iliyopo jijini Mwanza ilipoondoka kuelekea kwenye Bandari ya Bukoba (Neutical Miles 100).

Akizungumza na wananchi waliojitokeza kushuhudia hafla hiyo ya kihistoria Mhe. Mtanda amesema kukamilika kwa meli hiyo ni ishara ya juhudi za serikali katika kuimarisha sekta ya usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo katika ukanda wa ziwa Victoria.

Aidha, amesema wananchi wa Mwanza na ukanda wa ziwa Victoria kwa ujumla wamepata usafiri wa uhakika kwani Mhe. Rais Samia amedhamiria kuwaondoka kwenye adha ya ajali zilizotokana na matumizi ya usafiri duni wa mitumbwi na kwamba nauli zitakua nafuu sana kwa safari za ndani na nje ya nchi.

Ameongeza kuwa katika kuhakikisha katika ukanda huo kunakua na usalama katika usafiri, usafirishaji na hata uvuvi serikali kwa kushirikiana na nchi wanachama wa Jumuiya Afrika Mashariki wanajenga kituo maalum cha uokozi katika eneo la Malaika Beach kwa gharama ya zaidi ya Bilioni 5.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Meli nchini (TASHICO) Bw. Eric Hamissi amebainisha kuwa Ujenzi wa meli hiyo umefikia asilimia 99 na baada ya safari hiyo ya Mwanza- Kemondo hadi Bukoba wanatarajia kupata majibu ya ufanisi wake kitaalamu na mara moja kuanza safari katika Ziwa Victoria.

Amesema, pamoja na changamoto kama za kupanda kwa gharama za vifaa kama vya vyuma na wataalamu kushindwa kufika kwa wakati hatimaye meli hiyo ya kisasa yenye urefu wa mita 92.6 yenye spidi kubwa leo hii imekamilika na itafika Bandari ya Bukoba kwa saa 6 pekee.

Aidha, amebainisha kuwa meli hiyo yenye uzito wa tani elfu nne (4000) na ghorofa nne, ina uwezo wa kubeba abiria 1200, Magari 20 madogo, Malori 3 imejengwa na watanzania zaidi ya 200 walioshirikiana na timu ya wataalamu 16 tu wa mkandarasi kutokea nchini Korea Kusini.

"Kwa mara ya kwanza Meli hii itafika katika bandari ya Bukoba na italala huko na kesho itarejea Mwanza na imejengwa kwa zaidi ya Tshs. Bilioni 120 ambapo ni lazima tumshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwani ameikuta kwenye 40% tu ya ujenzi mwaka 2021 huku zikiwa zimelipwa Tshs. Bilioni 36 pekee lakini amemalizia fedha zote." Amebainisha Mkurugenzi.

RC MTANDA ASHUHUDIA SAFARI YA KWANZA YA MV NEW MWANZA KWENDA BUKOBA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

ПРИМИТЕ УЧЕБНЫЕ ИСПЫТАНИЯ НОВОГО ПОЛИЦЕЙСКОГО КАТЕРА KAGERA НА ОЗЕРЕ ВИКТОРИЯ/RPC AZUNGUMZA

ПРИМИТЕ УЧЕБНЫЕ ИСПЫТАНИЯ НОВОГО ПОЛИЦЕЙСКОГО КАТЕРА KAGERA НА ОЗЕРЕ ВИКТОРИЯ/RPC AZUNGUMZA

UJENZI WA MELI NNE,  AJIRA KWA  VIJANA.

UJENZI WA MELI NNE, AJIRA KWA VIJANA.

MUONEKANO WA NJE NA NDANI YA MELI MPYA YA NEW MV MWANZA NDANI YA ZIWA VICTORIA

MUONEKANO WA NJE NA NDANI YA MELI MPYA YA NEW MV MWANZA NDANI YA ZIWA VICTORIA

IFAHAMU HISTORIA YA DARAJA LA MTAMBASWALA LINALOUNGANISHA TANZANIA NA MSUMBIJI.

IFAHAMU HISTORIA YA DARAJA LA MTAMBASWALA LINALOUNGANISHA TANZANIA NA MSUMBIJI.

SGR MWANZA - ISAKA KAZI INAENDELEA, SASA NI 64%, VIWANGO VINAZINGATIWA.

SGR MWANZA - ISAKA KAZI INAENDELEA, SASA NI 64%, VIWANGO VINAZINGATIWA.

MRADI WA HOTEL MWANZA

MRADI WA HOTEL MWANZA

WAZIRI ULEGA AWATAKA JONTA NA OSAKA KUKABIDHI MADARAJA YA KIHONDA MBUYUNI 15 DISEMBA 2025 (MWEZI 1)

WAZIRI ULEGA AWATAKA JONTA NA OSAKA KUKABIDHI MADARAJA YA KIHONDA MBUYUNI 15 DISEMBA 2025 (MWEZI 1)

UJENZI MELI 4 ZA MIZIGO ULIPOFIKIA BANDARI YA KAREMA| MELI YA PILI MAKAA YA MAWE YAPAKIWA KAREMA

UJENZI MELI 4 ZA MIZIGO ULIPOFIKIA BANDARI YA KAREMA| MELI YA PILI MAKAA YA MAWE YAPAKIWA KAREMA

Usichokifahamu kuhusu ndege za Skyleader 600 zinazotengenezwa mkoani Morogoro,Tanzania.

Usichokifahamu kuhusu ndege za Skyleader 600 zinazotengenezwa mkoani Morogoro,Tanzania.

UFAHAMU MRADI WA BANDARI YA MPIGA DURI

UFAHAMU MRADI WA BANDARI YA MPIGA DURI

BODABODA ALIYEGONGA GARI LA RC MWANZA ANUNULIWA PIKIPIKI MPYA na KUPELEKWA KOZI ya UDEREVA...

BODABODA ALIYEGONGA GARI LA RC MWANZA ANUNULIWA PIKIPIKI MPYA na KUPELEKWA KOZI ya UDEREVA...

TAZAMA KIJIJI CHA KISESA MWANZA MUONEKANO WAKE

TAZAMA KIJIJI CHA KISESA MWANZA MUONEKANO WAKE

🔴 Разрушения, пожары, пострадавшие: какие объекты поразила РФ 6 декабря

🔴 Разрушения, пожары, пострадавшие: какие объекты поразила РФ 6 декабря

POLISI MWANZA WAMNASA JAMAA ANAYEWANYWESHA WANAWAKE DAWA ZA KULEVYA NA KUWABAKA

POLISI MWANZA WAMNASA JAMAA ANAYEWANYWESHA WANAWAKE DAWA ZA KULEVYA NA KUWABAKA

Ona Mafuta Yakichimbwa Uganda Ziwani na Bomba la Kuyaleta Tanzania Kwenda soko la Dunia

Ona Mafuta Yakichimbwa Uganda Ziwani na Bomba la Kuyaleta Tanzania Kwenda soko la Dunia

Białoruś POWOLI UPADA - Tak źle tam nie było

Białoruś POWOLI UPADA - Tak źle tam nie było

😮БЕРЕЗОВЕЦ: Срочная ВСТРЕЧА Путина! Публично УМОЛЯЕТ Индию О ПОМОЩИ. Гляньте, ЧТО ВЫДАЛ

😮БЕРЕЗОВЕЦ: Срочная ВСТРЕЧА Путина! Публично УМОЛЯЕТ Индию О ПОМОЩИ. Гляньте, ЧТО ВЫДАЛ

Inside the MASSIVE Aluminum Factory – How Raw Bauxite Turns Into GIANT Aluminum Coils (Full Process)

Inside the MASSIVE Aluminum Factory – How Raw Bauxite Turns Into GIANT Aluminum Coils (Full Process)

Как работает АВТОБЕТОНОНАСОС?

Как работает АВТОБЕТОНОНАСОС?

Правда о происхождении узбеков: что скрывали десятилетиями. Фархад Максудов, археолог.

Правда о происхождении узбеков: что скрывали десятилетиями. Фархад Максудов, археолог.

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]