BARABARA YA MALAGARASI - UVINZA KUKAMILIKA MACHI 2025, UJENZI WAKE NI WAFIKA ZAIDI YA ASILIMIA 50%
Автор: Wizara ya Ujenzi
Загружено: 2024-06-14
Просмотров: 4013
Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya amemuagiza mkandarasi STECOL anayejenga barabara ya Malagarasi - Ilunde - Uvinza (Km 51.1) kwa kiwango cha lami kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa barabara hiyo ifikapo Machi 28, 2025.
Kasekenya ametoa agizo hilo mkoani Kigoma, Juni 14, 2024 ambapo pamoja na mambo mengine amesisitiza mkandarasi huyo kujipanga na kukamilisha mradi huo kwa wakati kwani mpaka sasa hakuna changamoto yeyote inayokabili mradi huo ikiwemo masuala ya fedha wala vifaa kwa mkandarasi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: