Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

MISSENYI YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MIAKA 10 MFULULIZO

Автор: MISSENYIDC

Загружено: 2025-06-18

Просмотров: 155

Описание:

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Hajjat Fatma Mwasa ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi kwa kupata hati safi kwa kipindi cha miaka 10 mfululizo.

Akizungumza katika Baraza maalum la Madiwani la Kujadili taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) lililofanyika katika Ukumbi wa William F. Katunzi uliopo Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi leo Juni 17, 2025, Mhe. Hajjat Fatma Mwasa amesema ana kila sababu ya kuipongeza Missenyi kwa kupata hati safi miaka 10 mfululizo.

"Nina kila sababu ya kuwapongeza kwa kupata hati safi kwa miaka 10 mfululizo, lakini sio tu kupata hati safi, mmepata hati safi kwa miaka 10 mfululizo mkiwa na hoja chache na zinazoelezeka, hii nayo imeleta faraja kubwa", amesema Mhe. Mwasa.

Aidha, amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Missenyi, Mwenyekiti wa Halmashauri, Madiwani, Mkurugenzi Mtendaji na Wataalamu wa Halmashauri kwa kushirikiana na kufanya kazi kwa pamoja.

"Nimpongeze Mkuu wa Wilaya, Mwenyekiti wa Halmashauri, Waheshimiwa Madiwani, Mkurugenzi Mtendaji wetu na Wataalamu wetu, matunda yanayotokea Missenyi yanatokana na nguvu ya pamoja, yaani vile utendaji kazi mlionao, ushirikiano na kila kitu, hayo ndio yanayoleta matokeo chanya Missenyi", ameongezea Mhe. Mwasa.

Awali akisoma taarifa fupi ya utekelezaji wa hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Bw. John Paul Wanga amesema kwamba kwa Mwaka wa fedha 2023/2024 Wilaya ya Missenyi imepata hati safi.

Pia, amebainisha kwamba taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imejumuisha hoja za mwaka wa fedha 2023/2024, hali ya utekelezaji wa hoja za miaka ya nyuma kufikia mwaka wa fedha 2022/2023 pamoja na maagizo ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAC).

Ambapo amefafanua kuwa, katika mwaka wa fedha 2023/2024, hoja 15 ziliibuliwa na kutolewa mapendekezo, kati ya hoja ziliibuliwa na kutolewa mapendekezo, hoja 10 zimejibiwa kikamilifu na kufungwa na kusalia hoja 5 ambazo ziko katika hatua mbalimbali za utekelezaji.

Kusoma taarifa hii kwa undani zaidi, tembelea tovuti yetu www.missenyidc.go.tz

MISSENYI YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MIAKA 10 MFULULIZO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

MAADHIMISHO YA NANE NANE 2025, BANDA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISSENYI

MAADHIMISHO YA NANE NANE 2025, BANDA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISSENYI

MRADI WA LISHE SHULENI WAZINDULIWA MISSENYI

MRADI WA LISHE SHULENI WAZINDULIWA MISSENYI

TEGAMAISHO: NIMEHAKIKISHA HALMASHAURI HAIPATI HATI CHAFU

TEGAMAISHO: NIMEHAKIKISHA HALMASHAURI HAIPATI HATI CHAFU

Вам за 60? Это упражнение на стуле лучше ходьбы — одобрено хирургом | Советы по здоровью

Вам за 60? Это упражнение на стуле лучше ходьбы — одобрено хирургом | Советы по здоровью

WAZEE WATAKIWA KUWA CHACHU YA KUDUMISHA AMANI NA KUHIMIZA MALEZI BORA KWA VIJANA

WAZEE WATAKIWA KUWA CHACHU YA KUDUMISHA AMANI NA KUHIMIZA MALEZI BORA KWA VIJANA

UFUNGUZI WA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA MISSENYI

UFUNGUZI WA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA MISSENYI

MRADI WA LISHE SHULENI WAZINDULIWA MISSENYI

MRADI WA LISHE SHULENI WAZINDULIWA MISSENYI

UFUNGUZI WA MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA JIMBO LA MISSENYI

UFUNGUZI WA MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA JIMBO LA MISSENYI

WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WAASWA KUZINGATIA SHERIA NA TARATIBU ZA UCHAGUZI

WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WAASWA KUZINGATIA SHERIA NA TARATIBU ZA UCHAGUZI

Почему пожилые умирают не от сердца, а из-за ног

Почему пожилые умирают не от сердца, а из-за ног

RC AKIELEZEA MPANGO MKAKATI WA KUWAINUA VIJANA WA MKOA WA KAGERA

RC AKIELEZEA MPANGO MKAKATI WA KUWAINUA VIJANA WA MKOA WA KAGERA

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA HALMASHAURI WAKATI BARAZA LIKIWA LIMEVUNJWA

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA HALMASHAURI WAKATI BARAZA LIKIWA LIMEVUNJWA

Watanzania wapigwa marufuku kuingia Marekani, katika Dira ya Dunia TV

Watanzania wapigwa marufuku kuingia Marekani, katika Dira ya Dunia TV

MHE. FLORENT KYOMBO MBUNGE WA JIMBO LA MISSENYI AKIZUMNGUMZA NA MADIWANI WENZAKE

MHE. FLORENT KYOMBO MBUNGE WA JIMBO LA MISSENYI AKIZUMNGUMZA NA MADIWANI WENZAKE

ПОСЛЕ СМЕРТИ ВАС ВСТРЕТЯТ НЕ РОДСТВЕННИКИ, А.. ЖУТКОЕ ПРИЗНАНИЕ БЕХТЕРЕВОЙ. ПРАВДА КОТОРУЮ СКРЫВАЛИ

ПОСЛЕ СМЕРТИ ВАС ВСТРЕТЯТ НЕ РОДСТВЕННИКИ, А.. ЖУТКОЕ ПРИЗНАНИЕ БЕХТЕРЕВОЙ. ПРАВДА КОТОРУЮ СКРЫВАЛИ

HOTUBA YA MHE. PHOCAS RWEGASIRA BAADA YA KUCHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA HALMASHAURI MISSENYI

HOTUBA YA MHE. PHOCAS RWEGASIRA BAADA YA KUCHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA HALMASHAURI MISSENYI

Эти 8 Фраз выдают Глупца за секунду! Вы слышите эти фразы каждый день! Еврейская мудрость

Эти 8 Фраз выдают Глупца за секунду! Вы слышите эти фразы каждый день! Еврейская мудрость

⚡️ Удар по скоплению войск || Путин заявил о шоке

⚡️ Удар по скоплению войск || Путин заявил о шоке

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Мозг стареет от этих фруктов! Хирург показал, что происходит внутри сосудов…

Мозг стареет от этих фруктов! Хирург показал, что происходит внутри сосудов…

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]