HII NDIO FURSA KWA VIJANA INAYOPATIKANA CHUO CHA VETA MTWARA.
Автор: HTv Tanzania
Загружено: 2020-06-23
Просмотров: 2545
Mkuu wa Chuo cha Veta Mtwara Joseph Kibelehe amewataka vijana kuchukua fomu za kujiunga na mafunzo ya ufundi na chakula ili warasimishwe kwenye ujuzi wao kwa kupata vyeti vinavyotambuliwa. Mafunzo hayo ni bure na yanatolewa kwa muda wa miezi mitatu yakiwa yamefadhiliwa na Mfuko wa kuendeleza ujuzi Tanzania {SDF] kupitia Taasisi ya Elimu ambayo ipo chini ya Wizara ya Elimu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: