VETA MWANZA YAPOKEA VIFAA VYA SHILINGI MILIONI 68 TOKA CANADA
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2018-09-19
Просмотров: 5038
Serikali imepokea vifaa vya kufundishia katika chuo cha Veta cha Nyakato jijini Mwanza. Vifaa hivyo ni vya thamani ya Dolla za Canada 40,000 sawa na Shilingi milioni 68 za kitanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: