SHULE ZA JESHI ZAJIPANGA MKAKATI MAFUNZO YA VETA
Автор: Makutano TV
Загружено: 2021-09-23
Просмотров: 2788
Kikao cha Mwaka cha wakuu wa Shule zinazomilikiwa na Jeshi la Wananchi Tanzania kilichofanyika Shule ya Sekondari ya Kawawa Mafinga Iringa kimeazimia kuja na mkakati wa kuanzisha elimu ya mafunzo ya ufundi katika shule zake.
Mwenyekiti wa Shule hizo amesema tayari mpango huo umeanza kuleta tija katika shule ya Kigamhoni na utawezesha kukabili changamoto ya kupungua kwa wanafunzi katika shule hizo sambamba na kuanzishwa kwa shule za msingi za mtaala wa kiingereza.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: