Wakaazi wa kisiwa cha Amu, kaunti ya Lamu wapata hospitali
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-10-19
Просмотров: 689
Wakaazi wa Kisiwa cha Amu kaunti ya Lamu wamepata afueni kubwa baada ya wakfu wa Jaffari kujenga hospitali katika eneo la Riadha lililoko katikati ya Kisiwa hicho cha Amu. Hospitali hiyo itasaidia pakubwa wakaazi mitaa mbalimbali ya Kisiwa hicho cha Amu kupata matibabu kwa haraka. Awali walikuwa wakisafiri hadi katika hospitali ya king fahad huko mkomani kwa matibabu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: