WAZIRI MKUU: MAKANDARASI AKAMATWE MARA MOJA.
Автор: Zara Africa
Загружено: 2025-11-22
Просмотров: 10
Waziri Mkuu wa Tanzania MWIGULU NCHEMBA ametoa agizo kwa Kamishna wa Uhamiaji kumkamata Mkandarasi anayejenga Mradi wa Kituo cha Pamoja cha Ukaguzi wa Magari kilichopo Muhalala wilayani Manyoni mkoani Singida kwa kushindwa kutekeleza Mradi huo kwa kipindi cha Miaka NANE sasa, ikiwa ni pamoja na kuishikilia hati yake ya Kusafiria mpaka amalize Mradi huo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: