CHID BENZ akamatwa tena na Polisi Dodoma, “hachomoki”-RPC Muroto
Автор: Uhondo TV
Загружено: 2018-06-18
Просмотров: 260210
Jeshi la Polisi Dodoma limemkamata msanii Rashid Abdalah maarufu CHID BENZ akiwa na bangi gram tano, ikumbukwe Chid Benz alishawahi kukamatwa na kufikishwa Mahakamani mkoani humo kwa kosa la kupatikana na dawa za kulevya na kesi yake bado ipo Mahakamani.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: