#LIVE
Автор: Kuhani James
Загружено: 2025-11-06
Просмотров: 132
Karibu katika YouTube Channel ya Kuhani James! 📺
Fuatilia ibada moja kwa moja, maombi, na maombezi kwa watu wote na dini zote.
Hapa tunaleta Neno la Mungu, mafunuo, na huduma za kiroho zinazogusa maisha na kuleta uponyaji wa mwili na roho.
Ungana nasi kila Jumanne na Alhamisi kuanzia saa 11 jioni, kwa ibada za maombi na maombezi zilizojaa nguvu ya Roho Mtakatifu.
📍 Mahali: Mwenge Mataa – Mtaa wa Sokoni, jirani na Hospitali ya Watoto Lugalo
📞 Mawasiliano: 0765 260 692
Ubarikiwe unaposhiriki nasi — maombi yana nguvu! 💫
Usisahau kusubscribe, kulike, na kushare ili wengine pia wapokee baraka hizi.
FOLLOW Facebook : / jesusonlytz
FOLLOW Instagram : / jesusonlytz
#KuhaniJames #Maombi #Maombezi #HudumaYaKiroho #Injili #Mwenge #Tanzania #YesuNiBwana
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: