Wakulima wa muguka waitaka serikali kuondoa marufuku iliyowekwa Mombasa na Kilifi
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-05-25
Просмотров: 8323
Wakulima wa muguka kutoka kaunti ya Embu wameitaka serikali kuu itoe amri ya kutupilia mbali marufuku ya biashara ya uuzaji, usambazaji na matumizi ya muguka katika kaunti za mombasa na kilifi. Wakulima hao wanasema kuwa amri hizo za gavana wa kilifi gedion mungaro na mwenzake wa Mombasa Abdulswamad Sherif Nassir zimeathiri biashara zao na kuwaacha bila njia ya kujikimu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: