SERIKALI ILIVYO WANUFAISHA WAKULIMA WA KAHAWA MBINGA MJI
Автор: Mbinga Town Council
Загружено: 2026-01-08
Просмотров: 71
Serikali kupitia Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) imegawa miche ya kahawa bure kwa wakulima wa zao hilo katika Wilaya ya Mbinga, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuwawezesha wakulima kuongeza uzalishaji wa kahawa na kuinua uchumi wao.
Takribani miche ya kahawa milioni sita (6) imetolewa bure kwa wakulima, ikiwa na lengo la kukuza na kuendeleza zao la kahawa katika Wilaya ya Mbinga, huku kipaumbele kikitolewa kwa vijana na kina mama ili kuongeza ushiriki wao katika kilimo cha kahawa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: