UMEJARIBU KUACHA UMESHINDWA? Kubeti, Pombe, Ngono, Madawa, Simu, Kujichua n.k | Msikilize Pst.Mbaga
Автор: Hub of Wisdom Inc.
Загружено: 2025-04-02
Просмотров: 3128
KUUSHINDA URAIBU | OVERCOMING ADDICTION
Je, umewahi kupambana na tabia au changamoto ambazo umetamani kuziacha lakini umeshindwa mara kwa mara? Katika mafundisho haya ya kipekee, Mch. David Mbaga anafundisha njia za kiroho na kivitendo za kushinda tabia ngumu na changamoto zinazokufunga katika maisha.
🔔 Usisahau ku-Subscribe kwa mafundisho zaidi ya kujenga maisha yako kiroho na kimafanikio!
#Kushinda #Uraibu #Overcoming #Addiction #David #Mbaga #Thewisetz #MafundishoYaNeno #Tabia #Mafanikio #KushindaChangamoto #Tanzania #Kenya #Uganda #Congo #Rwanda #Burundi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: