WANAUME 200+ NA VIKUNDI 20+ KUFIKIWA NA ELIMU YA LISHE IRINGA -MC
Автор: Makutano TV
Загружено: 2025-09-23
Просмотров: 130
IRINGA
Serikali imeendelea kutoa kipaumbele katika huduma za Lishe bora kwa kuwafikia wananchi moja kwa moja kwenye Mitaa, Vijiji, Kata, hadi Kaya moja moja.
Hapa ni Kata ya Ilala na Makorongoni Manispaa ya Iringa
Serikali inatambua umuhimu wa afya bora kwa wananchi wake kwamba ni raslimali muhimu kwa maendeleo ya Taifa, wananchi wenye afya wanauwezo wa kuzalisha mali na kujenga familia na sasa wanaume hawajasahaulika.
Muongozo wa Chakula na Ulaji Tanzania Bara, ulitolewa mwaka 2023, lengo la muongozo huo ni kuboresha hali ya lishe na afya za watu wa rika na makundi yote katika jamii ya Watanzania na kupunguza aina zote za utapiamlo, vikundi vya kijamii Manispaa ya Iringa vilivyofikiwa na elimu hii wanaeleza
kwalimu iliyotolewa jamii inakiri kuwa imewafikia hata hivyo kina baba wanabainisha changamoto wanazokutana nazo.
HII N MAKUTANO TV IRINGA
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: