Mkuu wa wilaya ya atembelea banda la mkonge katika tamasha la Tanga Women's Gala 2025 episode 6
Автор: Tanga Tanzania TV
Загружено: 2025-09-06
Просмотров: 90
Tamasha hili huadhimishwa kila mwaka na mwaka huu ni msimu wa Nane Tanga Women's Gala Tamasha la wajasiriamali la wanawake mkoani Tanga tamasha hili siku linapo adhimishwa huambatana na burudani mbalimbali kama kuonyesha mavazi ya kiasili pamoja na vyakula vya kiasili, ngoma za asili na mambo mbalimbali hakika mkoa wa Tanga tunajivunia uwepo wa Tanga Women's Gala. #tanga_tanzania #Tanga_Womens_Gala
Mkuu wa wilaya ya Tanga MHE. DADI HORACE KOLIMBA: alipo tembelea banda la mkonge katika tamasha la Tanga Women's Gala msimu wa Nane 2025
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: