Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Salama Na Khadija Kopa Ep 9 | ALIYEPEWA KAPEWA Part 2

Автор: YahStoneTown

Загружено: 2020-03-29

Просмотров: 59146

Описание:

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs

Listen our Podcast on
Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcasts Link https://apple.co/2Ou1bru‬
‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa

Khadija Omar Kopa.
Malkia wa mipasho na lejendari wa muziki wa Taarab kwenye ukanda huu na duniani kwa ujumla, mwenyewe kaniambia yeye kwenda Arabuni na Ulaya ni jambo la kawaida tu kwake maana hayo kayaanza kuyafanya kitaaambo sana. Kitambo kweli naweza sema, mimi nimeanza kumfahamu Da Khadija toka kigori kabisa, na amekua hapo kwenye standard hiyo hiyo kwa miaka nenda na miaka rudi. Hii bila ya shaka imetokana na kwamba na yeye alianza kufanya hizo kazi akiwa bado msichana mbichi kabisa. Na ameweza kutuliza akili yake na ku maintain standard na status yake kwa miaka nenda miaka rudi kitu ambacho ni kigumu kwa mwanamke, tena kwa mwanamke wa visiwani ambako miongozo ya kidini ina mizizi kama ya mbuyu lakini ameweza kutunza heshima yake na kuonyesha kipaji chake huku akiwa na staha yake. Inabidi uwe na nguvu ya ziada kuweza kuwa na ujasiri wa aina hiyo.
Bila ya shaka alikua pia akipambana na mengi, pengine kukatishwa tamaa au hata vitisho ili aache kufanya alichokua anafanya kwa kutumia kipaji alichopewa na Mwenyezi Mungu lakini wapi, kwa mbwembwe za hali ya juu yeye ndo ameibuka kidedea kwenye vita hiyo na ndo maana heshima ya ulejendari inamhusu moja kwa moja Dada yangu huyu.
Wengine watasema pengine yeye si muimbaji wa taarab mwenye sauti nzuri zaidi ya flani na fulani, pengine kuna ukweli ndani yake, lakini je, hao wenye hizo sauti nzuri zaidi yake wako wapi? Je wana uwezo wa kucheza na kuringa jukwaani kama Khadija Kopa? Je wanajulikana kama yeye? Je wana ushirikiano na wana muziki wa kizazi kipya cha Bongo Flava na kutoa nao nyimbo zilizoshika chati ya juu? Je wana uwezo wa kuingiza Taarab yao kwenye matamasha ya muziki wa kizazi kipya na watu waka bang kama kawa? Mimi na wewe tunajua jibu.
Hii ni kwa ajili ya Dada yangu, fundi wa hizi kazi, tumpe heshima yake maana ‘Mpewa hapokonyeki, aliyepewa kapewa...’
Tafadhali Enjoy.
Love,

Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...  

Follow:
Twitter:   / yahstonetown  
Instagram:   / yahstonetown  
Facebook:   / yahstonetown  

Salama Na Khadija Kopa Ep 9 | ALIYEPEWA KAPEWA Part 2

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Salama Na Idris Ep 8 | TROOPER Part 1

Salama Na Idris Ep 8 | TROOPER Part 1

Kanał Zero i Arleta Bojke Szokują! Czy Mamy Akceptować Banderyzm i Zbrodnie Ukraińców na Polakach?

Kanał Zero i Arleta Bojke Szokują! Czy Mamy Akceptować Banderyzm i Zbrodnie Ukraińców na Polakach?

Клиентская фотография с Галей Анисимовой: жизнь успешного фотографа | Prostranstvo Podcast

Клиентская фотография с Галей Анисимовой: жизнь успешного фотографа | Prostranstvo Podcast

Salama Na Khadija Kopa Ep 9 | ALIYEPEWA KAPEWA Part 1

Salama Na Khadija Kopa Ep 9 | ALIYEPEWA KAPEWA Part 1

Kitale: Sharo Milionea ALIUAWA, tuliwakamata wote, ilibidi nifanyiwe DUA siku TATU | Chill na Sky

Kitale: Sharo Milionea ALIUAWA, tuliwakamata wote, ilibidi nifanyiwe DUA siku TATU | Chill na Sky

NIPEPE MPENZI LIVE SHOW   OMARI KOPA.TOT TARAAB

NIPEPE MPENZI LIVE SHOW OMARI KOPA.TOT TARAAB

Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 1

Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 1

MCH HANANJA PESA ZA WATU NI NGUMU

MCH HANANJA PESA ZA WATU NI NGUMU

"NILIMUONYA" - MAMA ZUCHU (KHADIJA KOPA) Afunguka Baada ya MWANAE KUFUNGIWA ZANZIBAR

NABII MALISA AWATABIRIA MAMBO MAZITO WASANII | NDOA YA HARMONIZE NA KAJALA | ITAVUNJIKA? | YATATOKEA

NABII MALISA AWATABIRIA MAMBO MAZITO WASANII | NDOA YA HARMONIZE NA KAJALA | ITAVUNJIKA? | YATATOKEA

Mkasi - SO6E04 With Khadija Kopa

Mkasi - SO6E04 With Khadija Kopa

Жириновский предсказал, когда завершится война в Украине —и всё идёт по его плану!

Жириновский предсказал, когда завершится война в Украине —и всё идёт по его плану!

Salama Na DR MWAKA Ep 37 | BINGWA Part 1

Salama Na DR MWAKA Ep 37 | BINGWA Part 1

Historia fupi ya Omary Kopa na kifo chake

Historia fupi ya Omary Kopa na kifo chake

🔴#LIVE: KHADIJA KOPA NDANI YA MASHAMSHAM  YA WASAFI FM | NOVEMBA 05, 2021

🔴#LIVE: KHADIJA KOPA NDANI YA MASHAMSHAM YA WASAFI FM | NOVEMBA 05, 2021

KHADIJA KOPA:  DIAMOND HAJATOA MAHARI YA KUMUOA ZUCHU/NI MUONGO SANA/JUMA LOKOLE NA ZUCHU WANAJUANA

KHADIJA KOPA: DIAMOND HAJATOA MAHARI YA KUMUOA ZUCHU/NI MUONGO SANA/JUMA LOKOLE NA ZUCHU WANAJUANA

Mkasi - S02E03 with Steven Kanumba

Mkasi - S02E03 with Steven Kanumba

NGWINJI : Khadija Omar Kopa #taarabmusic #taarab #taarabsongs

NGWINJI : Khadija Omar Kopa #taarabmusic #taarab #taarabsongs

Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1

Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1

Знаменитости, УМЕРШИЕ в 2025 году

Знаменитости, УМЕРШИЕ в 2025 году

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]