MRADI WA KOROSHO MTWARA ULIOZINDULIWA NA TAASISI YA ANSAF MNAMO TAREHE 30.07.2024 MKOANI MTWARA.
Автор: VOAGTV
Загружено: 2024-08-20
Просмотров: 72
ANSAF imezindua mradi wa "Uwezeshaji Wa Wanawake Kupitia Uchakataji wa Korosho na Masoko Kusini mwa Tanzania" (CASH WIN).
Mradi huu unaofadhiliwa na Bill and Melinda Gates Foundation kupitia mradi wa Beyond Collective Farming na kuratibiwa na Stichting BoP Innovation Center (Bopinc), unatarajiwa kutekelezwa mwaka 2024 hadi 2026, kwa lengo la kubadilisha sekta ya korosho nchini Tanzania kwa kuboresha uwezo wa wanawake kuongeza thamani kwenye zao la korosho na kuboresha uwezo wao wa kufanya biashara katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: