Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Uchaguzi Marekani: Ukusanyaji maoni waonyesha ni vigumu kumtabiri mshindi

Автор: VOA Swahili

Загружено: 2024-11-05

Просмотров: 2638

Описание:

JARIDA LA WIKIENDI: Linaangazia siasa za Marekani kelekea siku ya uchaguzi mkuu ambapo Wamarekani watafanya maamuzi kumchagua atakayeongoza White Houuse.

VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi.

Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000.

Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru.

Jiunge na VOA Swahili:
» Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc
»Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI
»Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus
»Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI

»Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/
»Upende ukurasa wetu wa Facebook:   / voaswahili  
»Tufuatilie katika Instagram:   / voaswahili  
»Tufuatilie katika X:   / voaswahili  
»Tufuatilie katika YouTube:    / @voaswahili  

Uchaguzi Marekani: Ukusanyaji maoni waonyesha ni vigumu kumtabiri mshindi

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Seneti na bunge kutumika kuwaondoa viongozi madarakani ni njia mbadala ya kuwawajibisha?

Seneti na bunge kutumika kuwaondoa viongozi madarakani ni njia mbadala ya kuwawajibisha?

Duniani Leo

Duniani Leo

🛑🛑🛑 CAN BI # BÉNIN - SENEGAL : PAPE THIAW PREND UNE DÉCISION AVANT LA RENCONTRE

🛑🛑🛑 CAN BI # BÉNIN - SENEGAL : PAPE THIAW PREND UNE DÉCISION AVANT LA RENCONTRE

Duniani Leo

Duniani Leo

NI KAMALA AU TRUMP | UCHAGUZI MKUU WA MAREKANI 2024

NI KAMALA AU TRUMP | UCHAGUZI MKUU WA MAREKANI 2024

Kurunzi Live: Wamarekani waamua

Kurunzi Live: Wamarekani waamua

🔴 Путин ответил на план Трампа? Ответил ФЕЙКАМИ и ОБСТРЕЛАМИ!

🔴 Путин ответил на план Трампа? Ответил ФЕЙКАМИ и ОБСТРЕЛАМИ!

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Novemba 05, 2024 | Mchana| Swahili Habari leo.

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Novemba 05, 2024 | Mchana| Swahili Habari leo.

Trump asema Ukraine iko tayari kurejea kwenye meza ya mazungumzo

Trump asema Ukraine iko tayari kurejea kwenye meza ya mazungumzo

🔴#Live: KWA NINI UCHAGUZI wa RAIS MAREKANI HUFANYIKA SIKU ya JUMANNE? -MATOKEO YASUBIRIWA KILA PEMBE

🔴#Live: KWA NINI UCHAGUZI wa RAIS MAREKANI HUFANYIKA SIKU ya JUMANNE? -MATOKEO YASUBIRIWA KILA PEMBE

Hofu ya vita yatanda Mashariki ya Kati | VOA Swahili

Hofu ya vita yatanda Mashariki ya Kati | VOA Swahili

ЭТО СЛОМАЛО ПЛАН ПУТИНА! Переговоры США и Украины. Зеленский ДОДАВИЛ в Флориде. У Путина ИСТЕРИКА!

ЭТО СЛОМАЛО ПЛАН ПУТИНА! Переговоры США и Украины. Зеленский ДОДАВИЛ в Флориде. У Путина ИСТЕРИКА!

"ILI RIPOTI IWE NA NGUVU YA KISHERIA LAZIMA IWE NA NGUVU YA KIMAHAKAMA/MARIDHIANO WALIYAANDAA MAPEMA

Jarida la Wikiendi: | Kupanda kwa bei ya mafuta Afrika Mashariki

Jarida la Wikiendi: | Kupanda kwa bei ya mafuta Afrika Mashariki

Wasifu wa Mgombea Urais kwa tiketi ya Demokratiki Kamala Harris

Wasifu wa Mgombea Urais kwa tiketi ya Demokratiki Kamala Harris

⚡️ Поражение на условиях Путина? || Резкий разворот по сделке

⚡️ Поражение на условиях Путина? || Резкий разворот по сделке

СРОЧНО: Атака на Путина | Переговоры в США | Трамп предлагает сдаться

СРОЧНО: Атака на Путина | Переговоры в США | Трамп предлагает сдаться

Hapa Ndiyo Marekani Vijijini 🇺🇸

Hapa Ndiyo Marekani Vijijini 🇺🇸

Pokoju nie będzie? Czy Trump przyjedzie na Ukrainę? — Marek Budzisz i Piotr Zychowicz

Pokoju nie będzie? Czy Trump przyjedzie na Ukrainę? — Marek Budzisz i Piotr Zychowicz

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]