Haya ndiyo majina ya waliofariki kwenye ajali ya basi na lori Dodoma
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2022-11-13
Просмотров: 25711
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma Dk Ibenzi Ernest amewataja watu 6 waliofariki ajali iliyohusisha basi la abiria la Arusha Express lililogongana na lori la mchanga eneo la mzakwe hapa jijini Dodoma kuwa ni Kurwa Awadhi ambaye ni dereva wa basi, Amani Asumani, Yohana Paulo pamoja na Hamphrey Mdoe, huku wengine wawili ambao wanasadikika kuwa walikuwa ni mawakala wa basi wakiwa bado hawajatambuliwa.
Dk Ibenzi ameyasema hayo leo Jumapili Novemba 13 2022, kwenye Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: