Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

GWAJIMA AMVAA DK MOLLEL SPIKA AINGILIA KATI 'ANAJIBU KITAALAMU'

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2025-02-06

Просмотров: 5909

Описание:

Spika wa Bunge, Tulia Ackson, amekubali uwezo wa kitaalamu wa Wizara ya Afya baada ya Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel, kutoa majibu ya kina kuhusu matumizi ya teknolojia ya Crispr-Cas9 katika matibabu ya magonjwa ya Selimundu.

Katika majibu yake ya swali la nyongeza lililoulizwa na Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima aliyehoji wizara imejiandaaje kuleta muswada Bungeni ili kuleta sheria maalum itakayoongoza watu wanaofanyiwa Gene Editing.

Dk Mollel ameeleza jinsi teknolojia ya Crispr-Cas9 inavyoweza kufanya uhariri wa jeni (gene editing) kwa usahihi mkubwa bila kuathiri maeneo mengine ya mwili. Amefafanua kuwa teknolojia hii ni ya kisasa na inatarajiwa kuwa na mchango mkubwa katika kutibu magonjwa ya kurithi, yakiwemo magonjwa ya seli mundu.

GWAJIMA AMVAA DK MOLLEL SPIKA AINGILIA KATI 'ANAJIBU KITAALAMU'

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

🔴LIVE KESI YA PONDA NA BAKWATA HUU NDIO UKWELI WOTE.

🔴LIVE KESI YA PONDA NA BAKWATA HUU NDIO UKWELI WOTE.

Hotuba ya Askofu Gwajima 'iliyomvunja mbavu' Rais Magufuli bungeni

Hotuba ya Askofu Gwajima 'iliyomvunja mbavu' Rais Magufuli bungeni

BUNGE - JULY.03.2015| TBC

BUNGE - JULY.03.2015| TBC

SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”

SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”

MBUNGE KISHIMBA AWAVUNJA MBAVU WABUNGE BAADA YA KUINGIA NA UNIFORM ZA SHULE NA MADAFTARI KUWAONESHA

MBUNGE KISHIMBA AWAVUNJA MBAVU WABUNGE BAADA YA KUINGIA NA UNIFORM ZA SHULE NA MADAFTARI KUWAONESHA

MBUNGE ATINGA NA POMBE BUNGENI, K.VANT, KONYAGI, AZIPANGA MEZANI -

MBUNGE ATINGA NA POMBE BUNGENI, K.VANT, KONYAGI, AZIPANGA MEZANI - "KWANINI MNAZUIA GONGO?"

GWAJIMA AMUACHA HOI MAGUFULI KWA VICHEKO, BUNGE LALIPUKA KWA SHANGWE,

GWAJIMA AMUACHA HOI MAGUFULI KWA VICHEKO, BUNGE LALIPUKA KWA SHANGWE, "MBWA ACHA WABWEKE"

Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5 2017

Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5 2017

HISTORIA YA TULIA ACKSON | MAISHA, MASOMO NA UONGOZI | URAIS WA IPU

HISTORIA YA TULIA ACKSON | MAISHA, MASOMO NA UONGOZI | URAIS WA IPU

#LIVE: ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOA WA LINDI

#LIVE: ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOA WA LINDI

❗️❗️ Зеленский назвал 20 пунктов мирного плана | Оперативные новости. День

❗️❗️ Зеленский назвал 20 пунктов мирного плана | Оперативные новости. День

Россия объявила срочную эвакуацию / Официальное заявление МИД

Россия объявила срочную эвакуацию / Официальное заявление МИД

VIDEO: Siku Waziri Kitwanga alijibu maswali Bungeni na kudaiwa amelewa

VIDEO: Siku Waziri Kitwanga alijibu maswali Bungeni na kudaiwa amelewa

Mh Tundu Lissu Atoa Mwongozo Matata Bungeni

Mh Tundu Lissu Atoa Mwongozo Matata Bungeni

MBUNGE BWEGE ALIVYOZUA BALAA BUNGENI LEO

MBUNGE BWEGE ALIVYOZUA BALAA BUNGENI LEO

KITIMTIM BUNGENI! Wapinzani Waitwa Mbwa, SUGU Aliamsha

KITIMTIM BUNGENI! Wapinzani Waitwa Mbwa, SUGU Aliamsha

Mpina Arejea Kwa Kishindo Bungeni, Aibua Mapya Sakata la Bandari la DP World

Mpina Arejea Kwa Kishindo Bungeni, Aibua Mapya Sakata la Bandari la DP World

CHADEMA  WANAZUNGUMZA  MUDA HUU | Belchomas Ponera

CHADEMA WANAZUNGUMZA MUDA HUU | Belchomas Ponera

SUGU:

SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki"

🔴#Live: JAJI WARIOBA AVUNJA UKIMYA / KUELEKEA D25 - POLISI KUSHTUKIZA MSAKO /MAUAJI ya MC PILIPILI..

🔴#Live: JAJI WARIOBA AVUNJA UKIMYA / KUELEKEA D25 - POLISI KUSHTUKIZA MSAKO /MAUAJI ya MC PILIPILI..

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]