UHAMIAJI YATANGAZA SIKU 10 KUSAKA WAHAMIAJI HARAMU LOLIONDO
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2022-06-22
Просмотров: 3318
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji Dkt.Anna Makakala ametangaza kuanza kwa operesheni maalum ya siku kumi kusaka wahamiaji haramu katika eneo la Loliondo, Ngorongoro mkoani Arusha.
Kamishna Jenerali Makakala ameeleza hayo Loliondo, na kusema zoezi hilo litaenda sawia na zoezi linaloendelea la uwekaji wa alama za mipaka katika Pori Tengefu la Loliondo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: