MWIGULU AWAJIBU WANAOZUNGUMZIA DENI LA SERIKALI | SISI NI MATAJIRI, MASIKINI HAAMINIKI
Автор: TBConline
Загружено: 2024-06-26
Просмотров: 4095
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania haikopi kwa sababu ni masikini, bali inakopa kwa sababu ni tajiri, akisisitiza kwamba masikini huwa hakopi.
Dkt. Mwigulu amesema hayo wakati akijibu hoja kuhusu deni la Serikali wakati akihitimisha hoja za wabunge walizoibua wakati wakijadili bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2024/25 bungeni jijini Dodoma.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: