SALIM AHMED SALIM
Автор: Tulipotoka Zamani
Загружено: 2022-07-07
Просмотров: 1234
Huu wimbo unaitwa Salim Ahmed Salim wa bendi ya Zaita Musica ikiongozwa na Supreme Ndala Kasheba akitumia gitaa la nyuzi 12. Wimbo huu ulitungwa na kurekodiwa maalumu kwa ajili ya kumpongeza Salim Ahmed Salim baada ya kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi huru za Afrika (OAU) kwa awamu ya pili mwaka 1993. Awamu yake ya kwanza ilikuwa kuanzia 1989 hadi 1993. Awamu yake hiyo ya pili ilianzia 1993 hadi 1997. Baadae akawa na awamu ya tatu kuanzia 1997 hadi 2001 alipostaafu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: