TEGETA YATAJWA UJENZI BRT, SERIKALI YASAINI MKATABA MIRADI MITANO
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2023-06-30
Просмотров: 1394
Serikali imesaini Mikataba mitano ikijumuisha mkataba wa ujenzi wa barabara ya TAMCO – Vikawe hadi Mapinga kwa kiwango cha lami; sehemu ya Pangani hadi Mapinga, ambayo itagharimu zaidi ya shilingi Bilion 500 kwa ufadhili wa serikalina Benki ya Dunia.
Miradi hiyo, minne ni kwa ajili ya ujenzi wa Miundombinu ya Usafiri wa Haraka wa Mabasi Jijini Dar es Salaam na Mradi mmoja ni kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya TAMCO – Vikawe hadi Mapinga kwa kiwango cha lami.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: