HOJA MEZANI | Umuhimu ya uwekezaji katika soko la hisa
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-07-02
Просмотров: 875
Kumekuwa na dhana nyingi kwenye jamii kuhusiana na hisa ambapo baadhi ya watu husema uwekazaji huo ni si mzuri kwani huleta faida taratibu.
Hivyo ni bora mtu awekeze pesa zake kwenye biashara ili mzunguko wa pesa uwe mkubwa.
Fuatilia mahojiano haya upate kujua iwapo uwekezaji wa hisa una faida, nini vya kuzingatia ili kufikia malengo yako.
#AzamTVUpdates
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: