Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

NENO LA SIKU | Luka 8 | Maombi Ya Kupata Amani | Isaac Javan

Автор: Neno La Siku

Загружено: 2024-06-07

Просмотров: 4005

Описание:

Leo tunasoma kitabu cha Luka sura ya nane, na tunaenda kufanya maombi ya kupata amani. Maisha ya mwanadamu yanahitaji amani ili aweze kuishi vizuri. Lakini kwa wakati huo huo, shetani anapambana kuondoa amani kwenye maisha ya watu ili kuwafanya waishi kwa mateso.

Ni heri ukose vyote lakini upate amani, kuliko upate vyote na ukose amani. Amani ina thamani kubwa sana kwenye maisha ya mwanadamu, na imebeba kiini cha furaha ya maisha. Amani ikikosekana maisha yanapoteza maana. Lakini habari njema ni kwamba, YESU ni mfalme wa amani. Ukimpata yeye, unapata uhakika wa kuwa na amani maisha yako yote.

Katika maombi ya leo, YESU anaenda kukupa amani unayoitafuta kwenye maisha yako. Nami nakuombea upokee amani ya moyo na maisha yako. Nakuombea ukauone uaminifu wa Mungu kwenye maisha yako. Damu ya YESU inene maneno mazuri. Neema ya YESU ikufunike na kukuhudumia kwa ukubwa. Ubarikiwe sana kwa baraka za milele yote. Amen!

Isaac Javan
+255 745 76 45 72

NENO LA SIKU | Luka 8 | Maombi Ya Kupata Amani | Isaac Javan

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

NENO LA SIKU | Luka 9 | Maombi Ya Kushinda Roho Ya Kurudi Nyuma | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Luka 9 | Maombi Ya Kushinda Roho Ya Kurudi Nyuma | Isaac Javan

MAOMBI YA KUSHINDA ROHO ZA MAGONJWA

MAOMBI YA KUSHINDA ROHO ZA MAGONJWA

JINSI YA KUKOMESHA TABIA YA UVIVU

JINSI YA KUKOMESHA TABIA YA UVIVU

NENO LA SIKU | Luka 11 | Maombi Ya Kufungua Riziki Yako | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Luka 11 | Maombi Ya Kufungua Riziki Yako | Isaac Javan

KUWA CHOMBO CHA HESHIMA KWENYE NYUMBA YA MUNGU  2TIMOTHEO 220-21 Mt. Kasian Lumato

KUWA CHOMBO CHA HESHIMA KWENYE NYUMBA YA MUNGU 2TIMOTHEO 220-21 Mt. Kasian Lumato

FAHAMU KUHUSU AMANI YA BWANA na PASTOR GEORGE MUKABWA-JRC || 22/12/2022

FAHAMU KUHUSU AMANI YA BWANA na PASTOR GEORGE MUKABWA-JRC || 22/12/2022

Молитва, исцеляющая болезни за секунды! (Так говорит Библия) | Билли Грэм

Молитва, исцеляющая болезни за секунды! (Так говорит Библия) | Билли Грэм

NENO LA SIKU | Luka 4 | Maombi Ya Kufungua Waliofungwa | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Luka 4 | Maombi Ya Kufungua Waliofungwa | Isaac Javan

Nyimbo za Kuabudu na Maombi . Swahili Worship Songs 60 Minutes of Prayers and Worship

Nyimbo za Kuabudu na Maombi . Swahili Worship Songs 60 Minutes of Prayers and Worship

MAOMBI YA KUMFUNGUA MUME WAKO - MWL. ISAAC JAVAN

MAOMBI YA KUMFUNGUA MUME WAKO - MWL. ISAAC JAVAN

AMENIWEKA HURU KWELI(SkizaCode 6930218)- PAPI CLEVER & DORCAS Ft MERCI PIANIST : MORNING WORSHIP 146

AMENIWEKA HURU KWELI(SkizaCode 6930218)- PAPI CLEVER & DORCAS Ft MERCI PIANIST : MORNING WORSHIP 146

NENO LA SIKU | Yohana 11 | Maombi Ya Kushinda Ugonjwa wa Mauti | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Yohana 11 | Maombi Ya Kushinda Ugonjwa wa Mauti | Isaac Javan

MAOMBI YA KUVUNJA PEPO LA KUTAPANYA PESA , UCHUMI ,MALI ,CHOMA ULETE, UNAFANYA KAZI PESA HAZIONEKANI

MAOMBI YA KUVUNJA PEPO LA KUTAPANYA PESA , UCHUMI ,MALI ,CHOMA ULETE, UNAFANYA KAZI PESA HAZIONEKANI

MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA KICHAWI - MWL. ISAAC JAVAN - VOL.03

MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA KICHAWI - MWL. ISAAC JAVAN - VOL.03

IMO NGUVU YA AJABU, ALL POWER BELONGS TO YOU, IT SHALL BE PERMANENT, HOW EXCELENT & YOU'RE THE MOST

IMO NGUVU YA AJABU, ALL POWER BELONGS TO YOU, IT SHALL BE PERMANENT, HOW EXCELENT & YOU'RE THE MOST

FAHAMU NEEMA YA MUNGU.

FAHAMU NEEMA YA MUNGU.

NENO LA SIKU | Luka 18 | Maombi Ya Kudai Haki Yako | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Luka 18 | Maombi Ya Kudai Haki Yako | Isaac Javan

«Мои тайные интриги» Евгений Пересветов |

«Мои тайные интриги» Евгений Пересветов | "My secret intrigues” Evgeny Peresvetov

MAOMBI YA KUACHILIA DAMU YA YESU KATIKA KILA ENEO LA MAISHA YAKO by Innocent Morris

MAOMBI YA KUACHILIA DAMU YA YESU KATIKA KILA ENEO LA MAISHA YAKO by Innocent Morris

NENO LA SIKU | Matendo 21 | Maombi Ya Kutakasa Nafsi  | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Matendo 21 | Maombi Ya Kutakasa Nafsi | Isaac Javan

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com