Bilioni 16.2 kujenga barabara ya Utili-Mahande kwa kiwango cha lami.TARURA Ruvuma kutekeleza,
Автор: Toka zamani Tv
Загружено: 2025-01-05
Просмотров: 135
#wizarayaujenzi#tarura#ruvumaMkoa wa Ruvuma una barabara zenye urefu wa kilometa 7146 zinazo hudumiwa na TARURA na katika barabara hizo asilimia 1.8 sawa na kilometa 128 ni za lami na zege na asilimia 20 ni sawa na asilimia 1429 ni za changarawe na zilizobaki ni asilimia 78.2 za udongo na barabara zilizokuwa nzuri na wastani ni asilimia 65 ambazo zinapitika wakati wowote ule.Katika mwaka 2024/2025 TARURA mkoa wa Ruvuma ilihidhinishiwa kiasi cha shilingi bilioni 22.19 ambayo ilipangwa kufanya matengenezo ya barabara kilometa 1145 na madaraja madogo na yakati Zaidi ya 50 utekelezaji mpaka sasa unaendelea na umefikia Zaidi ya asilimia 40.
TARURA mkoa wa Ruvuma inatekeleza mradi wa kitaifa katika wilaya ya Mbinga barabara ya Utili-Mahande barabara yenye urefu wa kilometa 14.4 na inajengwa kwa kiwango cha lami na bajeti yake ni kiasi cha shilingi bilioni 16.2
PATA habari mbalimbali za michezo na burudani bila kusahau makala za kijamii pamoja na vivutio mbalimbali vya utalii kupitia katika channel hii pendwa ya TOKAZAMANI TV.
SUBSCRIBE HERE:www.youtube.com/c/tokazamanitv?sub_co...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: