Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

NENO LA SIKU | Mathayo 28 | Maombi Ya Kushinda Uzushi | Isaac Javan

Автор: Neno La Siku

Загружено: 2024-03-20

Просмотров: 5520

Описание:

Leo tunamaliza kusoma kitabu cha Mathayo, na tunaenda kufanya maombi ya kushinda uzushi. Katika maisha tunayoishi, hakuna jambo baya kama kuzushiwa maneno ya uwongo na watu wakaamini.

Kuna watu wamekata tamaa ya maisha kwa sababu ya kuzushiwa maneno ya uwongo. Kuna watu wamepoteza marafiki kwa sababu ya kuzushiwa maneno ya uwongo. Kuna watu wametengana na wapendwa wao kwa sababu ya uzushi.

Kimsingi, uzushi ni kitu kinachoweza kuharibu maisha ya mtu. Lakini habari njema ni kwamba, YESU alishatuandalia majibu ya tatizo hili. Damu yake ilipomwagika, ilitufungulia njia ya kutembea katika ushindi ikiwa ni pamoja na kushinda roho za uzushi ziharibuzo.

Katika maombi ya leo, tunaenda kuomba YESU atufungue na kutuweka huru. Mahali popote ambapo uliwahi kuzushiwa jambo baya la uwongo, siku ya leo YESU anaenda kukuponya na pia anaenda kukurudishia vyote ulivyopoteza na anaenda kukupa heshima katika maisha yako. Kwa hiyo utakapokuwa unaomba, nakutia moyo ufanye maombi kwa kumaanisha, na utauona mkono wa BWANA ukikupigania na kukushindia.

Mwisho kabisa, napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru kwa kuungana nami katika usomaji huu wa biblia pamoja na maombi. Asante kwa wote uliowashirikisha waungane nasi katika maombi haya. Hongera sana kwa kufanikisha kusoma neno la Mungu kutoka kitabu chote cha Mathayo. Nakutia moyo, endelea kurudia maombi tuliyokwishafanya, mpaka uone umepata matokeo mazuri. Baada ya siku saba tutaendelea na kitabu cha Marko.

Mpaka hapo tutakapoonana tena, nakuacha na amani ya YESU. Damu ya YESU ikulinde na inene maneno mazuri kwa ajili yako. YESU akuonekanie na akuvushe katika mambo yako yote. YESU akupiganie na akutetee katika kila jambo linalogusa maisha yako. Neema ya KRISTO YESU isikupungukie. YESU akupiganie na akuweke panapo nafasi. Mungu Roho Mtakatifu akutie nguvu unapoendelea kurejea maombi tuliyokwisha fanya. Utunzwe na damu ya YESU tangu sasa na siku zote. Amen

NENO LA SIKU | Mathayo 28 | Maombi Ya Kushinda Uzushi | Isaac Javan

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

NENO LA SIKU | Marko 1 | Maombi Ya Kufungua Mbingu | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Marko 1 | Maombi Ya Kufungua Mbingu | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Mathayo 26 | Maombi Ya Kuvunja Maagano Ya Damu | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Mathayo 26 | Maombi Ya Kuvunja Maagano Ya Damu | Isaac Javan

MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA KICHAWI - MWL. ISAAC JAVAN - VOL.03

MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA KICHAWI - MWL. ISAAC JAVAN - VOL.03

Imani Ndogo, Matokeo Makubwa: Jifunze Siri Hii

Imani Ndogo, Matokeo Makubwa: Jifunze Siri Hii

siri za kuomba kwa kunena kwa lugha - Mwl Davidney Kaale

siri za kuomba kwa kunena kwa lugha - Mwl Davidney Kaale

SITAKUFA, NITAISHI - MAGONJWA YA KURITHI HAYATANIUA - Zaburi 118:17

SITAKUFA, NITAISHI - MAGONJWA YA KURITHI HAYATANIUA - Zaburi 118:17

NENO LA SIKU | Mathayo 27 | Maombi Ya Kushinda Dharau | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Mathayo 27 | Maombi Ya Kushinda Dharau | Isaac Javan

Uniongoze Yesu

Uniongoze Yesu

ROZARI YA MOYO MTAKATIFU WA YESU | CHAPLET OF SACRED HEART OF JESUS

ROZARI YA MOYO MTAKATIFU WA YESU | CHAPLET OF SACRED HEART OF JESUS

YESU NIPE NEEMA YA KUSHINDA | Isaac Javan

YESU NIPE NEEMA YA KUSHINDA | Isaac Javan

МИР ДЛЯ УКРАЇНИ: що має зробити церква? | пастор Андрій Мартинов | 31.12.2025, церква

МИР ДЛЯ УКРАЇНИ: що має зробити церква? | пастор Андрій Мартинов | 31.12.2025, церква "Благодать"

NENO LA SIKU | Luka 15 | Maombi Ya Toba Na Urejesho | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Luka 15 | Maombi Ya Toba Na Urejesho | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Luka 6 | Maombi Ya Kusafisha Jina Lako | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Luka 6 | Maombi Ya Kusafisha Jina Lako | Isaac Javan

MAOMBI YA USIKU KABLA YA KULALA by Innocent Morris

MAOMBI YA USIKU KABLA YA KULALA by Innocent Morris

MAOMBI YA KUTEMBEA-TEMBEA // TUMIA NYAYO ZA MIGUU YAKO

MAOMBI YA KUTEMBEA-TEMBEA // TUMIA NYAYO ZA MIGUU YAKO

NENO LA SIKU | Matendo 18 | Maombi Ya Kushinda Mashambulizi Ya Kiroho  | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Matendo 18 | Maombi Ya Kushinda Mashambulizi Ya Kiroho | Isaac Javan

Вот как Бог убирает членов семьи, которые втайне не любят тебя | Библейская мудрость

Вот как Бог убирает членов семьи, которые втайне не любят тебя | Библейская мудрость

MATHAYO 25:HUKUMU YA MWISHO/ATATENGANISHA KONDOO NA MBUZI

MATHAYO 25:HUKUMU YA MWISHO/ATATENGANISHA KONDOO NA MBUZI

MAOMBI YA KUTOKA KWENYE KILA TESO LA ADUI | MWL ISACK RIDHIWAN OMARY | DAY 1

MAOMBI YA KUTOKA KWENYE KILA TESO LA ADUI | MWL ISACK RIDHIWAN OMARY | DAY 1

MAOMBI YA KUPINDUA KITI CHA MAADUI ZAKO NA KUKOMBOA NAFSI YAKO NA NAFASI YAKO. | MAOMBI NI DAWA.

MAOMBI YA KUPINDUA KITI CHA MAADUI ZAKO NA KUKOMBOA NAFSI YAKO NA NAFASI YAKO. | MAOMBI NI DAWA.

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]