Wahalifu wasakwa Kaskazini Mashariki
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-16
Просмотров: 2518
Naibu Inspekta jenerali wa polisi Eliud Lagat amesema idara ya usalama imejitolea kumaliza kabisa magenge ya wahalifu katika maeneo ya Pwani na Kaskazini Mashariki.
Akizungumza na wanahabari katika kituo cha polisi cha Madogo baada ya kushuhudia kufuzu kwa askari 482 wa akiba, Lagat alisema zoezi la kutwaa silaha haramu kwa lazima litaanza baada ya siku sitini za kuzisalimisha kwa hiari kuisha.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: