Kwanini Wema Wako Unawafanya Watu Wakudharau
Автор: Hezzy Hezzy
Загружено: 2025-06-15
Просмотров: 26435
Video hii itakuonyesha ni kwanini ukiwa mwema kupitiliza watu wanakudharau, na pia itakuonyesha namna sahihi ya kutenda wema bila kudharaulika. Kwa sababu tatizo si kutenda wema, bali ni namna sahihi ya kuutumia wema wako vizuri bila kudharaulika.
Tupe maoni yako kuhusu unacho kifikiri. Vile vile usiache kuonyesha upendo kwa kuLIKE na kuSUBSCRIBE.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: