NENO LA SIKU | Mathayo 14 | Maombi Ya Kushinda Roho Ya Hofu | Isaac Javan
Автор: Neno La Siku
Загружено: 2024-02-23
Просмотров: 6725
Leo tunasoma kitabu cha Mathayo sura ya kumi na nne.Na tunaenda kujifunza madhara ya kiroho yanayosababishwa na hofu, lakini pia tutafanya maombi ya kushinda roho ya hofu ili tuwe huru.
Katika maombi ya leo, tutaenda kuombea maeneo mbalimbali yanayoathiriwa na roho ya hofu katika maisha yetu, kama vile magonjwa na vifungo vya kurithi.
Nakuombea YESU akutane na haja ya moyo wako na akufungue na kukuweka huru. Damu ya YESU isimame upande wako na kukushindia. Mungu akubariki sana na kukutunza. Amen!
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: