Aliyekuwa Kiongozi wa kijeshi wa Liberia Masta Sajenti Samuel Doe akiwasili nchini Tanzania
Автор: Tulipotoka Zamani
Загружено: 2024-01-03
Просмотров: 2283
Hii ilikuwa ni tarehe 29 August 1980 kwenye Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dar Es salaam (DIA) nchini Tanzania. Aliyekuwa Rais wa Liberia kwa wakati huo Masta Sajenti (Master Sergeant) Samuel Doe akiwasili nchini Tanzania kwa ziara ya kiserikali. Alipokewa uwanjani hapo na aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Alhaji Abood Jumbe na viongozi wengine wa Chama na Serikali. Masta Sajenti Samuel Doe alitoka kuchukua madaraka ya nchi ya Liberia miezi michache kabla ya hapo yaani tarehe 12 Aprili 1980 kwa kumpindua na kumuua aliyekuwa Rais wa Liberia kwa wakati huo William Tolbert.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: