SHUJAA BILA GWANDA: Mtangazaji Mohammed Suleiman 'Tall' wa Zanzibar
Автор: Gumzo la Ghassani
Загружено: 2021-04-10
Просмотров: 14446
Sauti yake nzito na tulivu imekuwa alama ya makuzi na malezi kwenye nyumba za Wazanzibari, ambao wakati mwengine walikuwa wakifunguwa redio zao kupitia Sauti ya Unguja kumsikiliza akiwawaidhi kupitia MAZUNGUMZO BAADA YA HABARI. Mohammed Suleiman 'Tall' ndiye shujaa wetu bila gwanda kwenye GUMZO letu la leo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: