Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

RAIS MWINYI AAHIDI KUENDELEZA UJENZI WA MIUNDOMBINU KUIFUNGUA PEMBA KIUCHUMI

Автор: ASAM Online TV

Загружено: 2026-01-09

Просмотров: 1013

Описание:

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameizindua rasmi Barabara ya Chake–Wete yenye urefu wa kilomita 22.2, na kuahidi kuwa Serikali itaendelea na ujenzi wa miundombinu zaidi kwa lengo la kuifungua Pemba kiuchumi.

Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 8 Desemba, 2026, katika Uwanja wa Michezo wa Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Ameeleza kuwa ujenzi wa miundombinu ni nguzo muhimu ya maendeleo kwa nchi yoyote inayolenga maendeleo ya haraka, na kubainisha kuwa tayari Pemba imeanza kufunguka kiuchumi kupitia miradi mikubwa ikiwemo ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, Bandari za Mkoani na Wete, Barabara ya Chake–Wete, pamoja na ujenzi wa Barabara ya Mkoani–Chake unaotarajiwa kuanza hivi karibuni.

Kwa upande wake, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dkt. Khalid Salum Muhammed, amesema mafanikio yanayopatikana katika sekta ya miundombinu yanatokana na maono ya Rais Dkt. Mwinyi, akieleza kuwa Serikali tayari imeshasaini mikataba mitatu (3) ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami katika Unguja na Pemba.

Akiwasilisha taarifa ya kitaalamu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Ali Said Bakari, amesema Barabara ya Chake–Wete imejengwa na Kampuni ya MECCO, ina urefu wa kilomita 22.2, na imegharimu jumla ya Shilingi Bilioni 26.6.

#ChakeWeteRoad #MaendeleoPemba #MiundombinuZanzibar #Mapinduzi62 #UjenziBarabara #ZanzibarYetu #SerikaliYaMapinduziZanzibar #ASAMOnlineTV

RAIS MWINYI AAHIDI KUENDELEZA UJENZI WA MIUNDOMBINU KUIFUNGUA PEMBA KIUCHUMI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

DKT. MWINYI ANENA MAZITO NA UONGOZI WA SAUDI ARABIA

DKT. MWINYI ANENA MAZITO NA UONGOZI WA SAUDI ARABIA

KITUO CHA MABASI YA KISASA MBIONI KUKAMILIKA - MALINDI, ZANZIBAR

KITUO CHA MABASI YA KISASA MBIONI KUKAMILIKA - MALINDI, ZANZIBAR

UCHAGUZI URUDIWE ACT WAZALENDO WAKATAA MAKAMU WA RAISI ZANZIBAR

UCHAGUZI URUDIWE ACT WAZALENDO WAKATAA MAKAMU WA RAISI ZANZIBAR

#MAUZO YA NYUMBA ZA DKT. MWINYI ZA BEI NAFUU

#MAUZO YA NYUMBA ZA DKT. MWINYI ZA BEI NAFUU

UTAPENDA: BARABARA YA MPENDAE YAFUNGULIWA RASM

UTAPENDA: BARABARA YA MPENDAE YAFUNGULIWA RASM

Barabara mpya ya Wete Pemba kutokea Meli 5 Ziwani Piki Bahanasa Mzambarau takao @zanzibartowns

Barabara mpya ya Wete Pemba kutokea Meli 5 Ziwani Piki Bahanasa Mzambarau takao @zanzibartowns

ПУТЕШЕСТВИЕ ДОКТОРА МВИНЬИ С РЕБЕНКОМ И ПАРТНЕРОМ НА ВЫБОРЫ В ЗАНЗИБАР

ПУТЕШЕСТВИЕ ДОКТОРА МВИНЬИ С РЕБЕНКОМ И ПАРТНЕРОМ НА ВЫБОРЫ В ЗАНЗИБАР

RAIS MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI DARAJA NA KISIWANI UZI

RAIS MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI DARAJA NA KISIWANI UZI

UJENZI BANDARI YA MARUHUBI (MPIGADURI) MBIONI KUKAMILIKA

UJENZI BANDARI YA MARUHUBI (MPIGADURI) MBIONI KUKAMILIKA

RAIS MWINYI APOKEA OMBI LA KUJENGA NYUMBA ZA MAENDELEO - GAMBA

RAIS MWINYI APOKEA OMBI LA KUJENGA NYUMBA ZA MAENDELEO - GAMBA

#ZNZ NA HATUA ZA MABADILIKO BARANI AFRIKA

#ZNZ NA HATUA ZA MABADILIKO BARANI AFRIKA

DKT. SHEIN AIBUKA PAJE, ANENA MAZITO KUHUSU MIUNDOMBINU

DKT. SHEIN AIBUKA PAJE, ANENA MAZITO KUHUSU MIUNDOMBINU

Ali Karume : Kutetea maslahi ya Zanzibar sio dhambi

Ali Karume : Kutetea maslahi ya Zanzibar sio dhambi

RC KASKAZINI PEMBA AWAKARIBISHA WANANCHI WOTE KATIKA UFUNGUZI WA BARABARA YA CHAKE -  WETE

RC KASKAZINI PEMBA AWAKARIBISHA WANANCHI WOTE KATIKA UFUNGUZI WA BARABARA YA CHAKE - WETE

DK.MWINYI AMEFUNGUA BARABARA YA CHAKE CHAKE - WETE

DK.MWINYI AMEFUNGUA BARABARA YA CHAKE CHAKE - WETE

Саудовская Аравия Перекачивает Миллиарды Литров Морской Воды по Гигантским Трубам в Пустыню!

Саудовская Аравия Перекачивает Миллиарды Литров Морской Воды по Гигантским Трубам в Пустыню!

ZAIDI YA WATOTO ZAIDI YA 500 WAPATIWA MSAADA WA VIFAA VYA MASOMO - KASKAZINI UNGUJA

ZAIDI YA WATOTO ZAIDI YA 500 WAPATIWA MSAADA WA VIFAA VYA MASOMO - KASKAZINI UNGUJA

UCHANGANUZI | ACT - Wazalendo kukwamisha au kufanikisha Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK)?

UCHANGANUZI | ACT - Wazalendo kukwamisha au kufanikisha Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK)?

Shuhudia Uzuri wa Kisiwa cha Pemba

Shuhudia Uzuri wa Kisiwa cha Pemba

MZANZIBARI ANAEFUGA MAJONGOO I TAZAMA UTAJIRI HUU I KILO 1 NI TSH 350,000

MZANZIBARI ANAEFUGA MAJONGOO I TAZAMA UTAJIRI HUU I KILO 1 NI TSH 350,000

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com