DIWANI KATA YA KASSAMBYA AWAITA WANANCHI KUSHIRIKI ZOEZI LA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA
Автор: MISSENYIDC
Загружено: 2024-10-11
Просмотров: 28
Diwani wa kata ya Kassambya Mhe. Yusuph M. Ahmada ametoa wito kwa wananchi wa Wilaya ya Missenyi kujitokeza kwenye zoezi la Uandikishaji wa Wapiga kura lililoanza leo Oktoba 11, 2024 na linatarajiwa kumalizika Oktoba 20, 2024.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: