SIMANZI !!! KAFULIA amlilia PROFESA MAFWENGA mwenye Degree 9 | Asimulia neno la mwisho alilomuachia
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-09-22
Просмотров: 5597
Dar es Salaam.Kamishna wa Ubia kati ya sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) David Kafulila amlilia Profesa Handely Mafwenga akisema amecha alama isiyofutika katika kuchochea mageuzi ya kubadili sheria na mipango kuifanya sekta binafsi kuchangia uchumi wa nchi.
Kafulila ameyasema hayo leo Septemba 22, 2023 kwenye ibada ya kuaga mwili wa Profesa Mafwenga aliyekuwa Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu Daraja la Kwanza wa Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) iliyofanyika nyumbani kwakwe Mabwepande kabla ya kuanza safari kwenda Tukuyu mkoani Mbeya.
Akizungumza wakati akitoa salamu zake kwa niaba ya serikali katika ibada hiyo iliyohudhuriwa na watendaji mbalimbali wa serikali, ndugu jamaa na marafiki.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: