NENO LA SIKU | Mathayo 23 | Maombi Ya Kutua Mizigo | Isaac Javan
Автор: Neno La Siku
Загружено: 2024-03-09
Просмотров: 5485
Leo tunasoma kitabu cha Mathayo sura ya ishirini na tatu. Na siku ya leo tunaenda kufanya maombi ya kutua mizigo ya kiroho. Watu wengi duniani wanatembea na kuishi kwenye kifungo cha mizigo ya kiroho.
Kuna mambo hayawezi kwenda kwa wakati isipokuwa mzigo wa kiroho umeondolewa. Kuna mambo hayawezi kwenda kwa haraka isipokuwa mzigo wa kiroho umeondolewa. Na katika maombi ya leo, YESU anaenda kutufungua kutoka kwenye mizigo na kutuweka huru.
Nakuombea YESU akupe ushindi kupitia maombi ya leo. Damu ya YESU inene mema kwa ajili yako. Mungu Roho Mtakatifu akupe nguvu katika maombi yako na akuwezeshe kuomba sawasawa na mapenzi ya Mungu. Mungu akubariki sana na kukushindia. Amen!
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: