Kutoka kuuza Vitumbua mpaka kumiliki kampuni kubwa Dodoma.
Автор: Ngasa Tv
Загружено: 2022-10-19
Просмотров: 1442
“ KUTOKA KUUZA VITUMBUA, MPAKA KUMILIKI KAMPUNI YA CHAKULA”
Kwenye Maisha Mpaka Tunayafikia Mafanikio ni Mengi tunapitia. Unapoanguka Hautakiwi kubaki Chini inatupasa kuamka tena na kupambania ndoto.
Leo Tunasimuliwa Baadhi ya changamoto na Mama ANNA URIO Mama Huyu tunaweza kumuita ni JASIRI Na hii ni baada ya kusimulia Alikotoka Mpaka kuyafikia mafanikio sio Rahisi na Kipindi Alichokifanya Mama Anna kitakwenda kuwasaidia Wanawake wote Ambao pengine wamekata Tamaa ya Maisha. Mama Anna Alianza na kupika vitumbua Mpaka kufikia kumiliki kampuni inayojihusisha na Maswala ya kupika Chakula.
KUJUA ZAIDI ALICHOKIPITIA MAMA ANNA MPAKA KUFANIKIWA ingia youtube search : NGASATV UTAKUTANA NAYO YOTE
Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kama unahitaji kufanya Matangazo au Habari yoyote ya KIJAMII Tafadhali wasiliana na Sisi Kupitia 0716909567 Tunawapa kipaumbele kwa waliopo Dodoma
[email protected]
WhatsApp: +255 716909567
Call us : +255 716909567
thank you for watching this video ,please leave a like if you enjoyed the video & Subscribe for more video.
#sensa #jitokezekuhesabiwa #ngasatv
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: