Mimea 5 Inayotibu Kuku Haraka Ndani ya Siku 2 Bila Dawa za Viwandani
Автор: KingoFarm
Загружено: 2025-09-28
Просмотров: 6710
Katika video hii ya KingoFarm, tunakuletea mimea 5 ya asili zinazotibu kuku haraka sana ndani ya siku 2 pekee bila kutumia dawa za viwandani. 🌿🐓
👉 Utajifunza jinsi ya kutumia kitunguu saumu, tangawizi, aloe vera, majani ya mpapai na kitunguu maji ili kutibu magonjwa ya kawaida ya kuku kama mafua, homa na kuharisha.
✅ Hizi tiba ni salama, rahisi na gharama nafuu kwa kila mfugaji.
📖 Vitabu vya Tiba Asilia kwa Kuku vinapatikana kwa bei ya Tsh 10,000/= tu.
📱 Wasiliana nasi: 0712188239 (Yas)
👥 Jiunge na kundi la WhatsApp la KingoFarm kwa elimu zaidi kwa ada ya Tsh 8,000/= kila miezi 2.
#KingoFarm
#TibaAsiliaKwaKuku
#UfugajiWaKuku
#PoultryFarming
#MimeaYaAsili
#KukuWaKienyeji
#NaturalRemedies
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: