MAFANIKIO SEKTA YA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MOROGORO
Автор: Wizara ya Afya Tanzania
Загружено: 2025-08-04
Просмотров: 63
Fuatilia makala maalum ya maboresho yaliyofanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Katika kipindi hicho Hospitali imeweza kuimarisha ubora wa huduma zikiwemo huduma za kibingwa na ubingwa bobezi, upatikanaji wa dawa, vifaa na vifaa tiba, uimarishwaji wa miundombinu, rasilimali watu pamoja na huduma za rufaa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: