LMIA, Arrima & AIP: Njia Rahisi za Kuja Canada kutoka East Africa |Jobs in Canada 2025
Автор: leza tv canada
Загружено: 2025-09-10
Просмотров: 5049
Nataka kuwasaidia watu kutoka East Africa kupata kazi na njia halali za kuhamia Canada 🇨🇦. Katika video hii, nimeenda government office kutafuta majibu ya maswali kuhusu LMIA jobs, Arrima portal, AIP program, na immigration programs nyingine.
Video hii ni kwa Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, na East Africa diaspora wanaotaka kujua:
Njia rahisi na halali za kupata kazi Canada
Maelezo ya LMIA jobs na AIP program
Jinsi ya kutumia Arrima portal kwa ufanisi
Tips za kuapply kutoka Africa bila hatari
🔹 Tazama video hii hadi mwisho ili upate muhtasari kamili wa hatua unazopaswa kuchukua.
🔹 Subscribe kwa Leza TV Canada kwa tips zaidi za immigration na jobs kwa East Africans
Links & Resources:
Arrima portal: https://www.quebec.ca/en/immigration/...
LMIA info: https://www.canada.ca/en/employment-s...
AIP info: https://www.canada.ca/en/immigration-...
#LMIAJobsCanada
#ArrimaPortal
#AIPCanada
#WorkInCanada
#CanadaImmigration
#EastAfricaToCanada
#LegalJobsCanada
#ImmigrateToCanada
#KenyaToCanada
#TanzaniaToCanada
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: